It's been on CNN, CNN International, WGN, ABC, NBC, and CBS in both Los Angeles and San Diego. We have had guests from all over the US, Canada, England and even Wales tell us that they've seen the video and LOVE IT! ...
Juzi tarehe 22 Oktoba, katika mji wa York katika jimbo la Pennsylvania nchini Marekani kibaka mwenye bastola alimwamru jamaa mmoja aitwaye Larry Sanderson ampe kila kitu alichokuwa nacho. Larry akatoa waleti yake, simu ya mkononi, ... Sometimes unapo-argue na mwehu watu wanaweza wasijue who is who. For the seasoned, educated and rational people kama mimi it is better just to be quiet. Umeshinda kaka. Domo ni lako and you can shout as much as you want. Blessings! ...